๐๏ธ About Power Request Portal Kuhusu Power Request Portal
The Power Request Portal is a global digital sanctuary designed to connect believers across borders. Our mission is to bridge language and geographical barriers, allowing members of our international prayer group to submit prayer requests, share testimonies, and join live worship sessions in their own preferred language.
Every prayer request and testimony submitted is automatically translated in real-time between English and Swahili, ensuring that a believer in Tanzania and another in the United States or Europe can pray together, read the same praise reports, and stay united in spirit.
Power Request Portal ni madhabahu ya kidijitali ya kimataifa iliyoundwa kuunganisha waumini kuvuka mipaka. Dhamira yetu ni kuvunja vizuizi vya lugha na kijiografia, kuwezesha washiriki wa kikundi chetu cha maombi cha kimataifa kutuma maombi yao, kushuhudia matendo makuu ya Mungu, na kuungana kwenye ibada za moja kwa moja kwa lugha wanayoielewa vizuri zaidi.
Kila ombi la maombi na ushuhuda unaotumwa unatafsiriwa moja kwa moja kati ya Kiswahili na Kiingereza, ikihakikisha kuwa mwamini wa Tanzania na mwingine aliyepo Marekani au Ulaya wanaweza kuomba kwa pamoja, kusoma shuhuda zilezile, na kubaki wamoja katika Roho.
๐ก๏ธ Meet Our Leaders Kutana na Viongozi Wetu
EV. MOHAMED MGASE
THE SHEPHERD MCHUNGAJI
A spiritual leader dedicated to the service of the gospel, preaching faith, hope and the power of prayer to change lives and society.
Kiongozi wa kiroho aliyejitolea kwa huduma ya injili, kuhubiri imani, matumaini na nguvu ya maombi kubadilisha maisha na jamii.
APOLONIER
CHAIRMAN DRC CONGO MWENYEKITI DRC CONGO
A spiritual guardian dedicated to the service of the gospel, encouraging solidarity, firm faith and the love of Christ for the community.
Mlezi wa kiroho aliyejitolea kwa huduma ya injili, akihimiza mshikamano, imani thabiti na upendo wa Kristo kwa jamii.
VICTORIA LEWA
CHAIRMAN KENYA MWENYEKITI KENYA
A leader with a vision and mission to strengthen solidarity and development, managing with wisdom and responsibility.
Kiongozi mwenye dira na dhamira ya kuimarisha mshikamano na maendeleo, akisimamia kwa hekima na uwajibikaji.
JEAN MAREE
CHAIRMAN USA AND COUNTRIES OUTSIDE OF AFRICA MWENYEKITI MAREKANI NA NCHI NJE YA AFRIKA
A strong global leader, encouraging solidarity, transparency and sustainable development-oriented decisions.
Kiongozi shupavu wa kimataifa, anayehimiza mshikamano, uwazi na maamuzi endelevu yenye mwelekeo wa maendeleo.
RACHAEL YANGWA
CHAIRMAN TANZANIA MWENYEKITI TANZANIA
The axis of national leadership, emphasizing solidarity, responsibility and a vision of development for future generations.
Mhimili wa uongozi wa kitaifa, unaosisitiza mshikamano, uwajibikaji na dira ya maendeleo kwa vizazi vijavyo.
PR GCHABA
A religious leader dedicated to serving people, strengthening faith and building a moral society
Kiongozi wa dini aliyejitoa kuwahudumia watu, kuimarisha imani na kujenga jamii yenye maadili
PENDO MWILU
An example of faith, values โโand service to others
Mfano wa imani, maadili na huduma kwa wengine
JOHNA SIRE
A spiritual leader who serves diligently and faithfully
Kiongozi wa kiroho anayehudumu kwa bidii na uaminifu
ANNE MAREE
A leader who builds unity, peace and hope
Kiongozi anayejenga umoja, amani na matumaini
MWAJUMA
He who leads with wisdom, love and humility.
Anayeongoza kwa hekima, upendo na unyenyekevu.
NELSON MSUGURI
A leader who serves with honesty, wisdom and love for the welfare of society
Kiongozi anayehudumu kwa uaminifu, hekima na upendo kwa ajili ya ustawi wa jamii